Just In

JUST IN: Kongamano la The Duke of Edinburgh’s International Award Foundation lasihi mataifa ya Bara Afrika kuwekeza katika vijana 

  Wadau katika masuala ya uimarishaji wa vijana wameshinikiza Kenya na Afrika kuwekeza zaidi katika vijana kwa kuwapa nafasi za uongozi na ujuzi mbalimbali ili kutambua uwezo wao katika jamii. Wakizungumza mjini Mombasa katika Kongamano la The Duke of Edinburgh’s International Award Foundation kwa ushirikiano na The President Award-Kenya, wadau hao wamesema Afrika inakadiria kuwa na
The post Kongamano la The Duke of Edinburgh’s International Award Foundation lasihi mataifa ya Bara Afrika kuwekeza katika vijana appeared first on TV47 Digital. Read More

Get your own website today with the leading web hosting company in Kenya: HostPinnacle. No Skills Required.

Buy and sell anything for free on the biggest free online marketplace in Kenya. Visit SokoPlus.co.ke

This site uses cookies to enhance your experience. By continuing to use this website, you agree to our use of cookies. Learn more.